Hope For Children
Anwani
75 Limassol Avenue
Office 201, 2nd Floor
2121 Nicosia, Cyprus
Simu
+ 357 22 103234
Faksi: + 357 22 104021
Imefunguliwa kwa saa 24
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Kituo cha Sera cha CRC cha "Hope For Children" ni Taasisi huru ya ubinadamu ya kimataifa iliyo Nicosia, Saiprasi. Tunalenga kufanya hivi kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kiwango cha Kitaifa, Ulaya na Kimataifa, lakini pia kupitia kuwashirikisha watoto wasiokuwa na wazazi wanaoishi katika nchi hiyo.
Cyprus Refugees Council (CRC)
Anwani
Stasandrou Street 9
Flat 401 - 4th Floor
1060 Nicosia, Cyprus
Simu
+ 357 22 205959
Faksi: +357 22 205960
Saa za Ufunguzi: Jumatatu - Ijumaa: 9:00-17:00
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Baraza la Wakimbizi la Saiprasi, ni shirika huru, lisilokuwa la faida, lililoanzishwa kama mabadiliko ya Kitengo cha Msaada wa Kibinadamu cha NGO Future Worlds Center. Msaada wa Kijamii, Huduma za Elimu (Masomo ya Lugha ya Kigiriki), Nafasi za kazi, mipango ya mafunzo (mipango ya elimu).
Asylum Service
Anwani
70 Arch. Makarios III Ave,
Nicosia, Cyprus
Simu
+ 357 22 445268
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Kituo cha Mapokezi na Malazi cha Waombaji wa Ulinzi wa Kimataifa, Taratibu za Kutafuta Kimbilio, uendeshaji na usimamizi wa vituo vya mapokezi na malazi kwa waombaji wa ulinzi wa kimataifa na familia zao.
Cypriot Red Cross Society (CRCS)
Anwani
Odos Kypriakou Erythrou Stavrou,
2063 Strovolo,
Nicosia, Cyprus
Simu
+ 357 22 504400
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Msaada wa kisaikolojia, huduma ya kwanza.
Kisa Migrant and Refugee Center
Anwani
48, Arsinois Street
1010, Nicosia, Cyprus
P.O. Box 22113, 1517
Simu
+ 357 22 87818
+ 357 99 098189
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Matoleo ya huduma za maelezo, ushauri, utetezi na msaada bila malipo. Uwakilishi wa kisheria wa bila malipo katika kesi za kimkakati mahakamani
MiHub - Migrant Information Center
Anwani
Nicosia: 20 Aischylou & Platonos Str., PC.1503
Limassol: 230 Agiou Andrea and Katsounotou Str., 3036
Larnaca: 8 Apollonos Str., Christodoulides Court, 6016
Paphos: 39 Eleftheriou Venizelou Ave., Cronos Center, sh. 1, 8021
Simu
+ 357 22 080350
Faksi: + 357 22 842222
Saa za Ufunguzi: Jumatatu - Ijumaa: 10:00 – 18:00
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Kusikiliza, liwazo, kuelewa na kuwasaidia wahamiaji, kuwajumuisha wahamiaji katika jamii, ushauri na msaada kuhusu: makazi, uhamiaji, ufukara, ustawi na afya.
Caritas Cyprus Nicosia Migrant Center
Anwani
Nicosia: 8 Saint Marona Street, Flat 4, 1010 CY
Larnaca: Our Lady of Graces Roman Catholic Church
Simu:
Nicosia: + 357 22 662606
Larnaca: + 357 99 129686
Faksi: + 357 22 662656
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Katika Nicosia na Larnaca, Vituo vya Uhamiaji vya Caritas Cyprus hufunguliwa siku za wiki ili kutoa mahali kwa wahamiaji kutangamana na wengine, kupata usaidizi wa kisheria, huduma ya afya, kisaikolojia na jamii, kujifunza lugha na, ikihitajika, kupata chakula, mavazi na huduma za ubinadamu.
Makazi: Katika Nicosia, Makazi ya Wahamiaji ya Caritas Cyprus hutoa malazi ya dharura ya muda kwa wanaume wahamiaji na wanawake wahamiaji wenye watoto.
Social Welfare Services
Anwani
63 Prodromou, 1468 Nicosia, Cyprus
Simu
+ 357 22 406709
Faksi: + 357 22 667907
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
- Kulinda haki za kila mtu za kuwa na kiwango kizuri cha maisha
- Mafunzo ya kiufundi kwa wafaidikaji wa huduma za umma ili kuingia/kuingia tena katika soko la wafanyakazi
- Hutoa msaada kwa familia ili wanafamilia waweze kutekeleza majukumu yao vizuri
- Husaidia familia na watu wanaokabiliana na matatizo ya kijamii
- Hutoa ulinzi na malezi kwa watoto na makundi mengine ya watu wnaaoweza kuathirika
- Msaada kwa Umma
- Huduma kwa Wazee na Walemavu
- Mipango inayotolewa na huduma kwa Usaidizi wa Umma, Wazee na Walemavu
- Faida na Huduma zinazotolewa kwa Himaya
- Ulinzi kwa watu walio peke yao walio chini ya umri wa miaka 18
Lefkosia District Welfare Office
Anwani
66, Agiou Ilarionos, 1026 Nicosia, Cyprus
Simu
+357 22 804605
Faksi: + 357 22 430205
Barua-pepe
Lakatamia Social Service Office
Anwani
23 Kenedy, 2314 Lakatamia, Nicosia, Cyprus
Simu
+ 357 22 608400
Faksi: + 357 22 380853
Latsia Social Service Office
Anwani
34 Archiepiskopou Makariou C', 2220, Latsia Nicosia, Cyprus
Simu
+ 357 22 803500
Faksi: + 357 22 487639
Nicosia Central and Strovolos Social Service Office
Anwani
66, Agiou Ilarionos, 1026 Nicosia, Cyprus
Simu
+ 357 22 804770
Faksi: + 357 22 430195
Lemesos District Welfare Office
Anwani
80, Franglinou Rousvelt, 3012 Lemesos, Cyprus
Simu
+ 357 25 804539
Faksi: + 357 25 305135
Barua-pepe
Polemidia Social Service Office
Anwani
3, 82 Road, 4153, Kato Polemidia Lemesos, Cyprus
Simu
+ 357 25 821895
Faksi: + 357 25 305760
Zakaki Social Service Office
Anwani
80, Franglinou Rousvelt, 3012 Lemesos, Cyprus
Simu
+ 357 25 804539
Faksi: + 357 25 306576
Germasogia Social Service Office
Anwani
73, Agias Zonis and Tyrteou Corner, 3090, Lemesos, Cyprus
Simu
+ 357 25 821895
Faksi: + 357 25 305760
Larnaka District Welfare Office
Anwani
23-25, Piliou, 6301 Larnaka, Cyprus
PO Box 40184
Simu
+ 357 24 800260
Faksi: + 357 24 304876
Barua-pepe
Kamares Social Service Office
Anwani
23-25, Piliou, 6301 Larnaka, Cyprus
PO Box 40184
Simu
+ 357 24 800207
Faksi: + 357 24 304876
Agioi Anargyroi Social Service Office
Anwani
54 Agioi Anargyroi Avenue, 6301, Larnaka, Cyprus
PO Box 40184
Simu
+ 357 24 800260
Faksi: + 357 24 304876
Pafos District Welfare Office
Anwani
28, Aristoteli Valaoriti & Kinira, 8100 Pafos, Cyprus
Simu
+ 357 26 821600
Faksi: + 357 26 306162
Barua-pepe
Ammochostos District Welfare Office
Anwani
134, 1st Apriliou, 5280 Paralimni, Cyprus
Simu
+ 357 23 811720
Faksi: + 357 23 827698
Barua-pepe
Office of the commissioner for administration and human rights
Anwani
Era House, Diagorou 2
1097 Nicosia, Cyprus
PO Box: 22166, 1518 Nicosia
Simu
+ 357 22 405500 / 501
Faksi: + 357 22 672881
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
- Udhibiti wa mahakama wa usimamizi na ulinzi wa haki za binadamu
- Kutendewa sawa kwa ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Mkataba wa Haki za Watu wenye Ulemavu (PwD)
- Upangaji wa kampeni za uhamasishaji
- Ulinzi wa haki za PwD kwa ujumla
- Kuepuka na kuzuia matukio ya dhuluma, ya kutendewa kinyama au kushushiwa hadhi na mateso
- Uingiliaji kati
Disabled Person Organisations (DPOs)
Cyprus Confederation of Organisations of the Disabled (CCOD)
Tovuti
National Center for Social Solidarity (EKKA)
Anwani
135, Vas. Sofias str,
Ampelokipoi 11521,
Athens GREECE
Simu
+ 30 213-2039706 / + 30 213-2039747
Laini ya Msaada kwa msaada wa moja kwa moja wa kijamii: 197
Helpline for Child Protection 1107
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Huduma za makazi kwa wakimbizi na wanawake walioathiriwa na ukatili, msaada wa kisaikolojia, na usaidizi wa moja kwa moja wa kijamii na huduma za usaidizi, Laini ya Simu ya Moja kwa Moja ya Msaada wa Kijamii ya dharura "197".
Doctors of the world
Anwani
12, Sapfous str,
10553 Athens GREECE
Simu
+ 30 210-3213150
Faksi: + 30 210-3213850
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Huduma za afya kupitia ofisi wazi za matibabu, famasia ya kijamii, msaada wa kijamii na kisaikolojia, mipango ya makazi ya makundi yanayoweza kuathirika, vitengo vya matibabu kwa watu wanaoweza kuathirika, upatanishi wa tamaduni na huduma nyingine.
Thessaloniki
Anwani
29Α Ptolemaion str. 54630 Thessaloniki Greece
Simu
+ 30 2310 566 641
Barua-pepe
Perama (in Thessaloniki)
Anwani
5 Aristeidou & Xenofontos str, 18863 Perama Thessaloniki
Simu
+ 30 210 4414788
Barua-pepe
Crete
Anwani
11 Boniali str, 73133 Chania, Greece
Simu
+ 30 28210 23110
Barua-pepe
Kavala
Anwani
13 Karanou str, 65302 Kavala, Greece
Simu
+ 30 2510 227224
Barua-pepe
Greek Council for the Refugees (GCR)
Anwani
25, Solomou str,
10682 Athens, GREECE
Simu
+ 30 210-3800990
Faksi: + 30 210-3803774
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Msaada wa Kisheria, Usaidizi wa Kijamii, Kituo cha Tamaduni cha Kukuza Ushirikiano wa Wakimbizi "PYXIDA", Huduma za Elimu (masomo ya lugha ya Kigiriki na Kiingereza, Ujuzi wa kompyuta, n.k.).
Hellenic red cross / Multi-functional center for refugees
Anwani
5, Timeou str,
10441 Athens, GREECE
Simu
+ 30 210-5126300
Hellenic Red Cross Hotline: + 30 210-5140440
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Laini ya Simu ya Maelezo ya Wakimbizi na Usaidizi, kituo cha usaidizi mbalimbali wa kijamii na ushirikiano wa wakimbizi, huduma za msaada wa ubinadamu, Kituo cha Upangaji na Kituo cha Tamaduni kinachopatikana Lavrio, Attica.
Network of social support for refugees and migrants
Anwani
13, Tsamadou str,
11472 Athens, GREECE
Simu
+ 30 210-3813928
Faksi: + 30 210-3830098
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Usaidizi wa Kijamii, Msaada wa Kisheria, Kozi za Lugha ya Kigiriki, uingiliaji kati kwa ajili ya Ulinzi wa Haki za Wakimbizi na Wahamiaji.
Programs of development, social support and medical cooperation (PRAKSIS)
Anwani
57, Stournari str,
10432 Athens, Greece
Simu
+ 30 210-5205200
Faksi: + 30 210-5205201
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
PRAKSIS inatoa huduma za afya, Msaada wa kisaikolojia, Msaada wa Kisheria kupitia kliniki zake kule Athens na Thessaloniki. Mipango ya makazi kwa makundi yanayoweza kuathirika ya watafuta kimbilio, vitengo vya PSS vya watu wanaoweza kuathirika katika Visiwa vya Aegean (Samos, Lesvos, Chios), upatanishi wa tamaduni na huduma nyingine.
Athens Polyclinics
Anwani
5 Paioniou str. 10440, Victoria Sq., Athens Greece
Simu
+ 30 210-8213704
Thessaloniki Polyclinics
Anwani
1 Arkadioupoleos & Ag. Dimitriou str, 54632 Thessaloniki, Greece
Simu
+ 30 231-0556145
Athens Daily Center for Homeless
Anwani
26-28 Deligiorgi str, Metaxourgeio 10435, Athens Greece
Simu
+ 30 210-5244574
+ 30 210-5244576
+ 30 210-5244578
Thessaloniki Daily Center for Homeless
Anwani
62 Monastiriou str, Thessaloniki, Greece
Simu
+ 30 231-0527938
Drop in Center Patras
Anwani
38 Tsamadou str. Patras, Greece
Simu
+ 30 261-0321933
Daily Center for Homeless Pireus
Anwani
44 Zosimadon Pireus, Greece
Simu
+ 30 698-5866432
United Nations Refugee High Commission (UNHCR)
Anwani
91 Michalakopoulou str.,
11528 Athens, GREECE
Simu
+ 30 216-2007800
Faksi: + 30 210-6726417
Barua-pepe
Tovuti
Médecins Sans Frontières, Greece (MSF)
Anwani
15 Xenia st,
11527 Athens, GREECE
Simu
+ 30 210-5200500
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Nchini Uingereza, misaada ya MSF inajumuisha usaidizi wa matibabu ya ubinadamu kwa wakimbizi na wahamiaji, VoT, huduma msingi ya afya kwa watu wanaoweza kuathirika na hata pia shughuli za kuhamasisha umma.
Association for the Social Support of Youth (ARSIS)
Anwani
43 MauroMateon st,
10434 Athens, GREECE
Simu
+ 30 210-8259880
Faksi: + 30 210-8259880
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Arsis hutoa usaidizi wa kijamii, makazi kwa familia zinazoweza kuathirika na watoto walio peke yako, PSS kambini na shughuli za burudani kwa watoto na familia.
Thessaloniki
Anwani
35 Ptolemeon st, 546 30 Thessaloniki, Greece
Simu
+ 30 231-0526150
Barua-pepe
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Volos
Anwani
130 Riga Fereou, 38 221 Magnisia, Greece
Simu
+ 30 242-131682022
Barua-pepe
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Makrinitsa
Anwani
Shelter for unaccompanied minors
Simu
+ 30 242-8099939
+ 30 242-8099944
Barua-pepe
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Kozani
Anwani
6 Ayiou Xristoforou , 50100 Kozani, Greece
Simu
+ 30 246-1049799
Barua-pepe
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Alexandroupoli
Anwani
34, Konstantinoupoleos, 68100 Alexandroupoli, Greece
Simu
+ 30 255-1038952
+ 30 255-1181397
Faksi: + 30 255-1038947
Barua-pepe
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Solidarity Now
Anwani
HQs Athens
Simu
+ 30 210-6772500
Faksi: + 30 210-6772509
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Solidarity now inalenga kutoa ufikiaji wa huduma msingi za afya na msaada wa chakula, kulinda haki na uhuru wa binadamu na kuunga mkono ujumuishaji wa watu wa jamii ndogo na makundi yanayoweza kuathirika.
Athens Solidarity Center
Anwani
2 Domokou st, 2nd floor, Athens Greece
Simu
+ 30 210-8220883
Faksi: + 30 210-8250986
Monday-Friday 9:00-21:00
Barua-pepe
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Thessaloniki Solidarity Center
Anwani
29A Ptolemaion st, Thessaloniki Greece
Simu
+ 30 231-0501030
+ 30 231-0501040
Faksi: + 30 231-0527518
Monday-Friday 9:00-17:00
Barua-pepe
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Blue Refugee Center
Anwani
25D Ioanni Koletti str, Thessaloniki Greece
Simu
+ 30 231-0555263
+ 30 231-0555264
Barua-pepe
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Caritas Athens - Refugee Program
Anwani
52 Kapodistriou st,
10432 Athens, GREECE
Simu
+ 30 210-8220943
Faksi: + 30 210-5246646
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Msaada wa Kimatibabu na Dawa, Chakula na mahitaji ya NFI, Usafi wa Mwili na Elimu.
Apostoli
Anwani
113 Sevastoupoleos st,
11526 Athens, GREECE
Simu
+ 30 213-018440099
Faksi: + 30 210-9246740
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Kliniki ya Kimishonari ya Jamii, Vitengo vya Afya Msingi, PSS, Makazi ya Watoto Walio Peke yako "ESTIA".
APOSTOLI Educational Center for the Refugees and Migrants
Anwani
34, Satovriandou st, 104 32 Athens Greece
Simu
+ 30 694-8418056
Disabled Person Organisations (DPOs)
The National Confederation of Disabled People Greece (ESAEA)
Tovuti
JUMA MAP
Anwani
Via dei Monti di Pietralata, 16
00157 Rome , Italy
Simu
+ 39 800 905 570
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
JUMA MAP ni Huduma ya Ramani ya Wakimbizi ya Italia katika lugha 8 (it,en,fr,ar,fa,zh-hans,bn,ti,so,am) na hutumika:
- Kupata huduma iliyo karibu na wale wanaohitaji (mahali pa kulala, mahali pa kupata usaidizi wa kisheria, mahali pa kupata huduma ya afya, mahali pa kupata msaada wa kisaikolojia na kijamii, mahali pa kupata shule ya lugha)
- Ili kufanya huduma zao na kazi zao zijulikane (huduma zote, za umma na za binafsi, ambazo haziko kwenye ramani zinaweza kutuma fomu yao wenyewe ya usajili)
- Sasisha marejeo yako kwa wakati halisi (huduma zote kwenye ramani zitakuwa na hati tambulishi za kurekebisha na kusasisha ufafanuzi wa huduma zao)
- Kutathmini kila kitu tunachokifanya tayari na kukiweka kwenye mtandao
JUMA na nambari ya bila malipo huwakilisha huduma ya kipekee ya kitaifa inayoweza kufikiwa na kila mtu: watafuta kimbilio, wakimbizi na hata pia wafaidikaji wa aina nyingine za ulinzi au kibali cha aina nyingine ili kusalia ikipata matoleo mapya ya kisheria!
JUMAMAP ni ramani huria ya huduma kwa watafuta kimbio na wamiliki wa ulinzi wa kimataifa na wa ubinadamu.
SPRAR Central Service
Anwani
Via delle Quattro Fontane, 116
00184 Rome, Italy
Simu
+ 39 06 7698 0811
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Mfumo wa Ulinzi kwa Watafuta Kimbilio na Wakimbizi (SPRAR) una mtandao wa serikali za mitaa ambazo zinaweza kufikia Hazina ya Kitaifa ya Sera na Huduma za Watafuta Kimbilio kwa ajili ya Utekelezaji wa miradi iliyojumuishwa ya mapokezi. Katika kiwango cha ndani, serikali za mitaa, na msaada muhimu wa sekta ya tatu wanahakikisha uingiliaji kati wa “mapokezi yaliyojumuishwa” ambao unaofanya mengi kuliko tu usambazaji wa chakula na makazi, kwa kutoa hatua za ziada za maelezo, usindikizaji, msaada na mwongozo, kupitia ujenzi wa njia za kibinafsi za ushirikiano wa kijamii na kiuchumi.
Kwa watoto: Mfumo wa Ulinzi wa Watafuta Kimbilio na Wakimbizi (SPRAR) huzingatia zaidi watoto na ulinzi wao wakati wa njia ya ushirikiano.
MEDU Center - Psiché
Anwani
Via dei Zeno, 10
00176 Roma, Italy
Simu
+ 39 334/3929765
Faksi: + 39 06/97844892
Ufafanuzi wa Huduma
Kituo cha Medu Psychè hutoa msaada wa kisaikolojia na kiakili kwa waathiriwa wa mateso na ukatili, matendo ya kinyama na ya kushusha hadhi.
Firenze
Anwani
Via Monsignor Leto Casini, 11
50135 Firenze, Italy
Simu
+ 39 335/185336111
Differenza Donna Association
Anwani
Ass. Differenza Donna Onlus
Via Flaminia, 43, Roma, Italy
Simu
+ 39 06 678 0537
Ufafanuzi wa Huduma
Shirika la Differenza Donna lina vituo vinavyopinga ukatili vinavyotegemea kanuni ya mshikamano kati ya wanawake. Hasa, shirika hili lina msaada maalum kwa wanawake walioathiriwa na ukeketaji wa wanawake, misaada ya kuzuia unyemeleaji na makundi ya kujisaidia.
Toll-Free number and counter for asylum seekers and refugees (ARCI, UNHCR)
Anwani
Via dei Monti di Pietralata, 16
00157 Roma, Italy
Simu
+ 39 80 0905 570
Ufafanuzi wa Huduma
Kwa ajili ya mtandao wa wapatanishi ambao unatoa msaada katika lugha 21, zana hii inaweza kutimiza mahitaji muhimu, ikitoa, kati ya mambo mengine, mwongozo kuhusu kanuni za sasa, ufafanuzi wa utaratibu wa kuomba ulinzi, maandalizi ya ukaguzi au usaidizi katika kupatanisha familia, na hata pia kutoa mtandao wa mawakili.
San Gallicano Association (INMP)
Anwani
Via di S. Gallicano, 25/a
00153 Roma, Italy
Simu
+ 39 06 58558201-2
Ufafanuzi wa Huduma
Taasisi ya Kitaifa ya ukuzaji wa afya ya wahamiaji na ya vita dhidi ya magonjwa ya Umasikini (INMP) ni shirika la umma linalohusika katika mtandao wa kitaifa wa matatizo ya usaidizi katika nyanja za kijamii na afya yanayohusiana na wahamaji na umasikini, na hata pia kituo cha kitaifa cha upatanishi wa tamaduni mbalimbali katika suala la afya.
Counters for disabled persons (CGIL)
Anwani
Corso D'italia, 25
00198 Roma, Italy
Simu
+ 39 0684 761
Faksi: + 39 068 845 683
Ufafanuzi wa Huduma
CGIL ni shirika la chama cha wafanyakazi la Italia ambalo lina hesabu ya nchi nzima ili kuwasaidia watu wenye ulemavu kuhusiana na kazi na haki zao.
Ministero dell'Istruzione, dell'Università e della Ricerca (MIUR)
Anwani
Viale Trastevere, 76/a, 00153 Rome, Italy
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Wizara ya Elimu imeanzisha kwenye tovuti rasmi kiunganishi cha uelekezo cha haki ya kusoma kwa wanafunzi wageni nchini Italia katika viwango vyote vya elimu.
La Sapienza University of Rome imeanzisha kihesabio na nambari ya simu isiyokuwa na malipo ili kuwaruhusu watu wenye ulemavu kuomba maelezo muhimu ili kuwezesha shughuli zao za kufunza.
Local Committees (ARCI)
Anwani
Via G. Brunetti, 101
Trepuzzi Lecce / Puglia, Italy
Simu
+ 39 083 275 5828
+ 39 377 689 8719
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Mtandao wa Arci wa kamati za ndani hutoa msaada na maelezo kuhusu huduma zinazopatikana kwenye himaya.
Disabled Person Organisations (DPOs)
Italian Disability Forum
The Finnish Refugee Council
Anwani
Elimäenkatu 15, 3rd floor
00510 Helsinki, Finland
Simu
+ 358 9696 2640
Mon-Fri 9am–3 pm EET
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Baraza la Wakimbizi la Ufini hufanya kazi na wahamiaji wa aina yote na huwasaidia kupata mahali pao katika jamii ya Ufini.
Finnish Red Cross
Anwani
Tehtaankatu 1 a
00140 Helsinki, Finland
Simu
+ 358 207 012 000
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Msalaba Mwekundu wa Ufini huunga mkono mamlaka katika kuwapokea watafuta kimbilio na wakimbizi, na hudumisha vituo na matawi kadhaa ya mapokezi katika sehemu tofauti za Ufini. Wanadumisha vituo vya mapokezi na kukutana na wakimbizi kwenye uwanja wa ndege.
MONIKA – Multicultural Women’s Association
Anwani
Hermannin Rantatie 12 a
00580 Helsinki, Finland
Mon-Fri 9:00 - 17:00
Simu
+ 358 972 799999
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Hukuza na kutoa huduma maalum kwa wanawake wahamiaji na watoto wao ambao wametendewa ukatili, na huwa kama mtaalamu na hutetea masuala yanayohusiana na kuzuia ubaguzi na ukatili wa kijamii, na hata pia kukuza ushirikiano kwa kuunga mkono shughuli za mashirika ya umma ya wahamiaji.
Miessakit Association
Anwani
Annankatu 16 B 28
00120 Helsinki, Finland
Simu
+ 358 09 6126 620
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Shirika la Miessakit ni shirika la wataalamu lisilokuwa la kiserikali lililoanzishwa ili kusaidia katika ukuaji wa kiakili, kisaikolojia na kijamii wa wanaume. Shirika hili hufanya kazi pamoja na huduma zilizopo za mgogoro zinazopatikana kwa wanaume na hukuza maisha ya familia yasiyokuwa na ukatili. Miessakit hufanya kazi kama kiunganishi cha kiwango cha kitaifa kwa makundi ya wanaume walio na malengo sawa na hudumisha mawasiliano ya kimataifa katika nyanja yake.
Msaada kwa wanaume wahamiaji: Lengo la Vieraasta Veljeksi - msaada wa shughuli za wanaume wahamiaji ni kutekeleza ushirikiano wa wahamiaji kwa kuunda njia mpya za mawasiliano na ushirikiano kati ya wanaume wahamiaji na wanaume asilia wa Ufini, pia kushirikisha watu waliomo kwenye jamii yetu iliyobadilika.
Finnish Federation of the Visually Impaired (FFVI)
Anwani
Marjaniementie 74
FIN-00030 IIRIS, Finland
Simu
+ 358 9 396 041
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Shirikisho la Ufini la Walemavu wa Kuona ni mtoa huduma maalum wa kijamii na hata pia shirika la utetezi kwa vipofu na wasioweza kuona vizuri.
Lengo la Shirikisho hili ni kuwapa vipofu na watu wasioweza kuona vizuri hadhi sawa na raia wengine wa Ufini. Ili kutimiza hili, Shirikisho hili linatafuta kuboresha uwezo na ujuzi wa wasioweza kuona vizuri, huku likijaribu kushawishi jamii kwa jumla.
Finnish Federation of the Hearing Impaired
Anwani
Kuuloliitto ry Ilkantie 4
00400 Helsinki, Finland
Simu
+ 358 09 5803 830
Barua-pepe
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Ushauri, mawaidha na kozi. Ni ya watu ambao wana matatizo fulani na kusikia.
The Finnish Mental Health Association
Anwani
Maistraatinportti 4 A, 7. krs
00240 Helsinki, Finland
Ufafanuzi wa Huduma
Wana simu ya ushauri na mgogoro. Wana tovuti nzuri sana pia. Tuna huduma nzuri sana za afya ya akili nchini Ufini. Kila mtu anaweza kuwasiliana nao.
Disabled Person Organisations (DPOs)
Finnish Disability Forum (FDF)
Tovuti
Chance B
Anwani
Franz-Josef-Strasse 3
8200 Gleisdorf
Simu
+43 3112 4911
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Chance B inatoa huduma za kijamii kwa watu wenye ulemavu wa umri wote katika sehemu ya mashariki ya Styria. Wahamiaji wenye ulemavu pia wanakaribishwa.
Caritas Steiermark
Anwani
Grabenstraße 39
8010 Graz
Simu
+43 3168 0150
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Caritas ndio mtoa huduma mkuu wa watafuta kimbilio na wahamiaji katika Styria. Wana nyumba maalum za wahamiaji na walemavu kama zile zilizo Graz St Peter au Mariatrost.
Pronegg & Schleich
Anwani
Kleegasse 3
8020 Graz
Simu
+43 316 23 20 71 0
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Wanaandamana na watoto, vijana na familia katika hali zenye changamoto. Kando na mradi wa BEAM ambapo familia za kigeni zenye watoto wenye ulemavu wanasaidiwa, kozi maalum za lugha kwa wahamiaji wenye ulemavu hutolewa.
ZEBRA
Anwani
Granatengasse 4/3. Stock
8020 Graz
Simu
+43 316/83 56 30
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Tiba yao ya kisaikolojia ya tamaduni mbalimbali ni toleo kwa watu ambao wamelazimishwa kukimbia nchi zao , ambao wamefadhaishwa sana kwa sababu ya mateso, vita, unyanyasaji na wanahitaji matibabu ya kisaikolojia kwa lugha yao ya mama.
ORS
Anwani
Muthgasse 36
1190 Wien
Simu
+43 1 890 6666
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Kampuni ya Uswisi ya ORS inawasaidia watafuta kimbilio katika maeneo kadhaa ya Austria, pamoja na wahamiaji wenye ulemavu pia.
Haus St. Gabriel
Anwani
Gabrielerstraße 171/6
2344 Maria Enzersdorf
Simu
+43 2236 444 84
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Katika nyumba hii iliyo Caritas kule Maria Enzersdorf (Austria ya Chini), watafuta kimbilio wenye mahitaji maalum wanaweza kupata makazi.
Diakonie
Anwani
Albert Schweitzer Haus
Schwarzspanierstraße 13
1090 Wien
Simu
+43 1 409 80 01
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Diakonie inawasaidia watu walio katika hali zenye changamoto. Katika nyumba zao “Rossauer Lände” kule Vienna na “Paul Weiland” katika Austria ya Chini wana matoleo maalum kwa wahamiaji wenye ulemavu.
Samarieterbund
Anwani
Hollergasse 2-6
1150 Wien
Simu
+43 1 89 145 226
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
Samariterbund inawasaidia watu waliokimbia na kuacha nyumba zao. Katika nyumba yao "Geriatriezentrum am Wienerwald" kule Vienna, wahamiaji wenye ulemavu wanasaidiwa.
HEMAYAT
Anwani
Sechsschimmelgasse 21
1090 Wien
Simu
+43 1 216 43 06
Tovuti
Ufafanuzi wa Huduma
“Hemayat” ni shirika huru kisiasa na lisilokuwa la faida. Linatoa matibabu ya kiakili yanayowezeshwa na mkalimani, ushauri wa kisaikolojia na msaada wa matibabu kwa manusura wa vita na mateso.
Disabled Person Organisations (DPOs)
Austrian National Council of Disabled Persons (ÖAR)
Tovuti